Kwa nini Mwanamke hupiga nduru wakati wa kusakata Ngono

Reading Time: 2 minutes

Nafa mpenzi! Unanimaliza mume wangu, uwiiii, hapo sawa, usiachilieeeee

Je, umeshwari tafakari kuhusu mbona mwanamke hulia wakati wa kuchuna ngozi? Kilio kina maana gani katika kucheza ngono? Hiki ni kitu ambacho hutokea kwa wanawake wengi na tunaweza kusema kwamba kwa wengi ni asili na halisi na wakati mwingine kwa wengine ni cha kuiga na haswa bandia kwa kiasi fulani. Vyovyote itakavyokuwa, wakati mwingine si rahisi kusema ni kilio kipi ni cha uwongo na kipi cha kweli.

Kila mwanamke ana kilio wake wa ngono tofauti na kile cha dhiki na machungu.Kuna wale waliao wakitoa machozi na kuna wale waliao kwa macho makavu.Kwa hivyo ni sawa kusema kuwa, kuna vilio tofauti vya ngono, kwa mfano, kilio kirefu, kilio kirefu au kilicho afikishwa,  kilio chenye sauti ya juu, kilio chenye sauti ya chini, kilio chenye sauti iliyosawazika, kilio chenye vokali tofauti na kilio chenye konsonanti fulani, hasa sonoranti, viambajengo na nazali.

Kwa sasa tulenge maudhui ya makala hii. Kulingana na wataalamu wa maswala ya ngono, kuna sababu nyingi na umuhimu mwingi sana wa mwanamke kutoa sauti wakati wa tendo la kujamiiana. Hebu tutizame, bila kuzingatia umuhimu wa orodha.

# 1. Kilio cha ngono ni cha kusisimua hisia

Mwanaume anapogonga ndipo, mwanamke anaitikia kwa kilio ama mungurumo fulani. Kwa hivyo hii inatuma mwanaume atie bidii kataka kusukuma na kuzungusha viungo.Wewe kama mwanaume, jifunze kusikiliza mpenzi wako wakati wa kusakata ngono.

 

# 2. Ni njia ya kujisalimisha

Mbona mwanamke hulia wakati wa ngono

Kulia wakati wa ngono pia inamaanisha kuwa mwanamke amejisalimisha. Anakuambia kwamba umemshinda kihisia, na wewe ndiwe dume liloshika usukani.

 

# 3. Ni namna ya kumshangilia mwanaume 

Ngono ni kama kandanda. Mchezaji mshambulizi anapogaragaza mpira, mashabiki hamshangilia ili aweze kulenga kwa mkwaju. Kwa hivyo mwanasoka huyo hutia bidii ili asiwaangushe wafuasi.

 

# 4. Utamu umezidi

Anaonyesha kuridhika kwake kupitia kunguruma. Utamu wa ngono ni kama mapepo, unapogubuka mshiriki, huwa anapoteza fahamu.

# 5. Kulia kunatengeneza mazingira ya kiponografia

Kulia wakati wa ngono hujenga mazingira ya kiponografia ambapo mizimu ya ngono inashamiri.

277

Leave a Reply

Pin It on Pinterest

error: Alert: Content is protected !!